Mahojiano

Meneja amchana Baraka mbele yake “Baraka mvivu sana haendi na muda, Yeye ndio alinitafuta nifanye nae kazi” – Video

Meneja amchana Baraka mbele yake "Baraka mvivu sana haendi na muda, Yeye ndio alinitafuta nifanye nae kazi" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @barakahtheprince_ alivyompigia simu mpenzi wake @najdattani kudhibitisha kuwa bado hawajaachana sababu za kutopost wimbo wa Baraka NIMEKOMA.

Mbali na hilo @barakahtheprince_ amezungumzia sakata lake na @konki3master Lakini pia meneja @faky_junior ampa makavu vitu asivyopenda kutoka kwa Baraka na kusema kuwa @barakahtheprince_ hayuko ontime.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents