Burudani

Meneja wa Q Chief aeleza kwanini wameamua kumrudisha muimbaji huyo kwenye muziki (Video)

Kampuni ya Alfa Chain International inayomsimamia muimbaji Abubakar Katwila aka Q Chief imeeleza kwanini iliamua kufanya kazi za msanii huyo muda mchache baada ya kutangaza kwamba anaachana na masuala ya muziki. Meneja wa kampuni hiyo aitwae, Warren Bright amesema afya ya Q Chief pamoja na thamani yake katika muziki wa BongoFleva ndio kitu ambacho kimemsukuma kusafiri kutoka Marekani hadi Tanzania ili kumuokoa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents