Habari

Congratulations: Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a. Sugu apata mtoto wa kike!


Mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (chadema), ambaye ni rapa mahiri mkongwe, Joseph Mbilinyi ambaye anajulikana zaidi kwa vijana kama Mr Two au Sugu jana amebahatika kupata mtoto wa kike ambaye tayari yeye pamoja na mama mtoto anayekwenda kwa jina la Faiza wamempa jina la SASHA DESDERIA J. MBILINYI.

Mheshimiwa Mbilinyi alielezea furaha yake hiyo ya kupata mtoto huyo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kuandika kwa kiingereza Amazing grace!….I thanx GOD for giving me a baby girl today on 26th sept, her name is SASHA DESDERIA J. MBILINYI…. She is my new darling and my everything now…. May god also bless me and her mother Faiza so we can live longer enough to see her grow.
Bongo5 inapenda kukupa hongera na kukutakia kheri katika kumkuza mtoto huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents