Burudani ya Michezo Live

Miss Tanzania 2019, Sylivia Sebastian ”Nitaongea Kiswahili nitakapokuwa Miss World, wasio kijua tutafundishana” (+Video)

Miss Tanzania 2019, Sylivia Sebastian ambaye amefanikiwa kutwaa taji hilo hapo jana usiku Agosti 23 mwaka 219  Jijini Dar Es Salaam, kupitia mahojiano yake na waandishi wa habari amesema kuwa kwakuwa yeye ni Mtanzania atazungumza lugha ya Kiswahili atakaposhiriki mashindano ya Miss Wolrd. ”Kama mimi ni Mtanzania vyovyote vile nitazungumza Kiswahili, nitakitangaza Kiswahili na tutakuwa tunafundishana.” – Amesema Sylivia Sebastianambaye.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW