Muziki
Mkali wa Reggae kutoka Zimbabwe Buffalo Souljah, ameachia wimbo mpya ‘No Man Bigger Than God’ (+Audio)
Msanii kutoka nchini Zimbabwe Buffalo Souljah ambaye kwa sasa anaishi South Africa aliyebahatika kufanya na wasanii Kama Nasty C, 2 face na wengine ameachia ngoma yake ‘No Man Bigger Than God’
https://www.youtube.com/watch?v=VABzTgj8r_k