AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Mkubwa Fela atoa ushauri huu kwa vijana “Sijawahi kumdharau mtu yeyote”

Mkubwa Fela atoa ushauri huu kwa vijana "Sijawahi kumdharau mtu yeyote"

Meneja wa msanii Diamond Platnumz amefunguka mengi kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiwashauri vijana sana katika kipindi hiki ambacho amedai ni miaka 20 ya Mkubwa Fela.

Mkubwa fela ambaye pia ni diwani ameongea hayo wakati huu ikiwa ndio tamasha la Wasafi Festival, Mkubwa Fela ameongea haya yafuatayo:- ” Sijawahi kumdharau yoyote na usiogope kunisogelea unaweza kupishana na movie MUNGU anasema kama nimetuma mitume yangu kutangaza neno langu na kuna watu wanapinga je mie niwe nani nisipingwe tena nafanya kazi isiyo ya MUNGU pia ukitoa sapoti ukitajwa ujatajwa mwenyeziMUNGU bado yupo nawe mtoaji aya vijana tumieni muda mwingi kutambua vipawa vyenu na kuviendeleza kuliko kukata tamaa #miaka20yamkubwafella#MchezoUsiuchezeeWewe wadau kesho IRINGA Uwanja wa samora”.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW