Habari

Mmiliki wa mtando wa Facebook afuturisha wakimbizi

Mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa Facebook na CEO Mark Zuckerberg, amefuturisha wakimbizi wa nchini Somalia wanaoishi katika mji wa Minneapolis- Marekani.

Kupitia akaunti ya mtandao wa Instagram, Zuck alipost picha akiwa na baadhi ya wakimbizi hao wakati wa kula futari.

“I had my first Iftar dinner with a group of Somali refugees in Minneapolis. Thanks to my hosts for being so gracious at the very end of Ramadan,” ameandika Zuck.

Pia CEO huyo ameongeza kwa kuandika ” I left impressed by your strength and resilience to build a new life in an unfamiliar place, and you are a powerful reminder of why this country is so great.”

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents