Mo Dewji: Nimeongea na mchezaji wa Barcelona, Pique kuhusu masuala ya Simba

Nimefurahi kupata wasaa leo na wewe Gerard Piqué! Asante kwa ushauri wako kuhusu masuala yatakayo iletea Simba maendeleo. Natumai tutafanya kazi pamoja katika siku za mbeleni karibuni 🙏🏽 #SimbaGoingGlobal 🦁 #NguvuMoja

https://www.instagram.com/p/CH0YwYJFImD/

https://www.instagram.com/p/CH0YwYJFImD/

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW