DStv Inogilee!

Monalisa, Ray Kigosi washinda tuzo nchini Ghana

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kwa jina la Monalisa ameshinda tuzo ya The African Prestigious Awards (APA) 2017 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika.

Monalisa

Tuzo hizo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo mjini Accra nchini Ghana ambapo waigizaji wengine kama Ray na Mzee Majuto nao walikuwa nominated kwenye tuzo hizo, ambapo Ray Kigosi pia ameshinda tuzo ya muigizaji bora wa kiume barani Afrika.

Kwa upande mwingine, Mtanzania Moise Hussein ameshinda tuzo hizo kwenye kipengele cha mpiga picha bora barani Afrika kwa mwaka 2017.

Unaweza kutazama washindi wengine zaidi kwa kubonyeza HAPA.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW