Burudani

Mr Flavour aja na albamu ya tano

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Mr Flavour, anatarajia kutoa album yake ya tano “Ijele – The Traveler.”

Jina la albamu hiyo limetolewa na Flavour mwenyewe na inaelezea maisha yake ya nyuma aliyokuwa akiishi, jina la “Ijele” limetoka katika asili ya Igbo.

“The album title, reflects my journey as a musician metaphorically. As a musician, I’ve transformed, evolved and transcended within my music and social responsibilities, and I am proud to share this journey with my fans and listeners far and wide, Music is in my blood, it’s all I know, Music is my life, ” amesema Flavour.

Albamu hiyo kwasasa imeanza kuuzwa kwa njia ya mtandao pekee.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents