Mahojiano

Msanii aliyedai kuibiwa wimbo na Rayvanny afunguka ilivyokuwa “Nimeanza ku-hustle tangu mwaka 2014” – Video

Msanii aliyedai kuibiwa wimbo na Rayvanny afunguka ilivyokuwa "Nimeanza ku-hustle tangu mwaka 2014" - Video

Baada ya Rayvanny kueleza kuwa ameibiwa wimbo na msanii kutoka mkoani Iringa anayefahamika kwa jina la Riser stars kuwa Serikali iingilie kati kuhusu hizi tuhuma zinazowahusu wasanii wakubwa kuwa wanaibiwa nyimbo zao na endapo huyo msanii ataendelea kulalamika kuwa wimbo ni wa kwake basi atamshitaki.

Leo tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na msanii Riser Star ambaye ndio ametuhumiwa na kufunguka yafuatayo:-

https://www.youtube.com/watch?v=XuyXn1LqIaw

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents