Burudani

Msanii wa dancehall wa Jamaica Vybz Kartel apatikana na hatia ya mauaji

Msanii wa dancehall wa nchini Jamaica, Vybz Kartel amepatikana na hatia ya mauaji. Yeye na watu wengine watatu walishikiliwa kwa kumuua Clive Lizard Williams.

Vybz-Kartel-pic

Hukumu yao itatolewa March 27 huku mawakili wake msanii hiyo wakionesha dalili za kuikatia rufaa. Waendesha mashtaka walidai kuwa Williams alipigwa hadi kufa nyumbani kwa Kartel, 2011. Mwili wa mtu huyo haukuwahi kupatikana japo polisi wanadai kuwa waliwhai kukuta ujumbe kwenye simu ya Kartel unaodai kuwa Williams alisagwasagwa kiasi ambacho mabaki yake yasingepatikana.

http://www.youtube.com/watch?v=NYVvZiYDDr4

Kartel, ambaye jina lake halisi ni Adidja Palmer, ni miongoni mwa wasanii wakubwa zaidi nchini Jamaica.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents