Burudani

Ash Hamman kuachia video ya Wahala Ijumaa hii

Mkali wa R&B, Ash Hamman wa Dubai, anatarajia kuachia video ya wimbo wake Wahala Ijumaa hii.

Ash Hamman

Ash Hamman, ambaye ni ni mzaliwa wa Nigeria, anajulikana pia kwa nyimbo zake kali kama Body n Soul, I’m Sorry na Over. Video ya Wahala inatajwa kuja kuwa moja ya video ghali zaidi kutengenezwa.

“Video hii ya Wahala itawapa mashabiki ladha tofauti pamoja na kuikuza sanaa ya utengenezaji wa video katika ubora na maudhui mazuri,” alisema. Baadhi ya vipande vya nyuma ya kamera za video ya hiyo zimeanza kurushwa na vituo mbalimbali vya runinga vya kimataifa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents