Tupo Nawe

MSIBA WA RUGE: Nay wa Mitego amshushia ujumbe mzito Diamond ‘ametutoa mbali, i wish ningemuona’ (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunguka kuwa angefurahi kumuona msanii mwenzake, Diamond Platnumz akihudhuria mazishi ya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Groups, Ruge Mutahaba.

Akiongea na Bongo5, Nay wa Mitego amesema kuwa angefurahi kumuona Diamond anahudhuria kwenye msiba huo, kwani Ruge ni mtu ambaye wote wawili amewasaidia sana kuwakuza kwenye sanaa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW