Habari

Msimu wa Valentine’s: Jose Chameleone amzawadia mkewe Range Rover!

Jose Chameleone si mtu wa vitu vidogo. Sehemu ya maegesho ya magari kwenye nyumba yake inazidi kujaa baada ya kuamua kumzawadia mke wake gari aina ya Range Rover kama zawadi ya msimu wa Valentine’s.

10986944_768413416569044_2400878655883529756_n (1)

“Happiness can be described in a smile on your face. But can also be described by the happiness and smile on the face of the few that smile about who you are no matter what the world might think of you. We all express love in special ways,” ameandika Chameleone kwenye picha ya mke wake na mwanae mbele ya gari hilo.

“You deserve so much more in life Mrs. Mayanja. For now, my gratitude can be expressed like this.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents