Burudani

Mtazame kwa ukaribu mtoto wa kike wa Fid Q, Fidelie

Fareed Kubanda aka Fid Q amemtambulisha kwa ukaribu binti yake mwenye mwezi mmoja sasa, Fidelie. 

12107614_722187314581840_303713262_n

Mtoto huyo alizaliwa September 25 mwaka huu.

Rapper huyo amepost picha ya Fidelie kwenye Instagram na kuandika: #MalkiaWaNyamagana Bi #Fidelie.”

Hivi karibuni Fid Q alisema ni mapema kuzungumzia masuala ya ndoa na mpenzi wake kutoka Jamhuri ya Czech aliyemzalia mtoto huyo.

“Huyu ni mtoto wangu wa kwanza wa kike na kwa haraka haraka mimi nina watoto wawili wa kiume. Huyu mama yake alikuwa girlfriend wangu wa muda mrefu sana, yale masuala ya ndoa na nini nisingependa kuyaongelea leo, itakuwa umeyaharakisha sana lakini natarajia mambo mengi mazuri. Pia japokuwa nimetingwa na shughuli nyingi hapa nchini lakini nafanya mpango wa kukutana naye,” alisema Fid Q kwenye mahojiano na Clouds FM.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents