Habari

Mtoto wa Kiume wa Muigizaji Will Smith, Jarden atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja (+Video)

Mtoto wa Kiume wa Muigizaji Will Smith, Jarden atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja (+Video)

Mtoto wa Kiume wa Muigizaji Maarufu Duniani Will Smith, anayefahamika Kama Jaden Smith mwenye Umri wa Miaka 20 ametangaza Hadharani Kuwa Rapper na mchekeshaji Kutoka nchini Marekani Tyler the Creator alikuwa BoyFriend wake na Bado ni BoyFriend wake.

Kupitia Clip iliyoanza Kusambaa Sana Kwenye Mitandao ya Kijamii inamuonesha Jaden akiwa kwenye Stage akisia kuwa Tyler ni Rafiki yake Mkubwa wa Kiume na Bado Mpaka sasa wapo nae.

Wengi wameitafsiri Hii Kama Jaden amekuwa akishiriki Mapenzi ya Jinsia Moja, Kwa Jinsi Alivyokuwa akiongea kwa Hisia kwenye Video hiyo na Ikimuonesha Tyler akiwa na Kicheko kinachomaanisha kuwa Kweli Wawili hawa kuna Jambo litakuwa Linaendelea.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents