Muna alazwa ghafla, Tazama mwili wa Patrick ukitolewa Agha Khani hadi kwa baba yake Mwananyamala kuagwa (+video)

Mama mzazi wa marehemu Patrick, Muna Love asubuhi ya leo amelazwa ghafla katika hospitali ya Agha Khani kwa kuzidiwa na homa kali hii ni baada ya mwili wa mtoto wake kutolewa hospitalini hapo.

Tazama matukio mawili ya jinsi mwili wa Patrick ulivyotolewa Agha Khani hadi nyumbani kwa baba yake mzazi Mwananyamala kwa ajili ya kuuaga mwili wa mtoto Patrick.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW