Burudani

Mwasiti adai ataendelea kukaa mbali na siasa

Mwasiti Almasi amedai kuwa yupo kuitumikia jamii zaidi na kazi zake za muziki na sio siasa.

Mwasiti

Akiongea na E-News ya EATV, Mwasiti amedai kuwa pamoja na kuwa na uwezo mkubwa wa kuzungumza mambo ya msingi mbele ya watu, haoni kama muda wa yeye kuingia kwenye siasa umefika.

“Unajua sasa hivi sijafikiria kabisa kuingia katika siasa,” alisema.

“Roho yangu haijaniruhusu kwa sasa labda roho yangu ikiniruhusu baadaye sana sio mda wake sasa hivi japo nimekuwa muongeaji mzuri ninapokutana na vijana. Sasa hivi muda wangu mwingi ni kufanya mambo yangu.”

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents