Habari

Mwili wa Liu Xiabao wachomwa moto

By  | 

Mwili wa Lui Xiabo mshindi wa tuzo Amani ya Nobel, mwaka 2010 aliyefariki siku ya Alhamisi umezikwa katika mji wa Shenyang kwa kuchomwa moto.

Mazishi yake yameudhuriwa na familia yake pamoja na marafiki zake. Inadaiwa kuwa marehemu alikuwa aligundulika na ugonjwa wa kansa ya ini May 2009, wakati anatumikia adhabu yake ya jela miaka 11.

Kwa mujibu wa gazeti la The Global Times limedai kuwa marehemu ambaye amefariki akiwa na miaka 61, alitaka kuipindua serikali ya nchi hiyo. Baadhi ya viongozi wa juu kama Kansela wa Ujerumani Bi. Angel Merkel amemuita Liu kama jasiri wa kupambana na kutetea haki za binadamu.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments