DStv Inogilee!

Mystical: Muziki ukigoma naingia kwenye ‘porn’

Rapper Mystikal anajaribu kwa mara ya mwisho kutafuta riziki kupitia muziki lakini ameuambia mtandao wa TMZ kuwa kama akishindwa kutengeneza pesa kwenye albam yake ijayo ataingia kwenye uigizaji wa filamu za ngono.

Mystical ameuambia mtandao huo kuwa hatanii katika suala hilo kwakuwa anahitaji kuona pesa ikiingia na kama kuna kitu kingine anachokiweza zaidi basi ni kupiga mikasi na hivyo porn ni Plan B yake.

Rapper huyo ambaye yupo chini ya Cash Money Records ana historia ya ugizaji wa filamu hizo kwakuwa aliwahi kupata tuzo za AVN mwaka 2003 baada ya kutengeneza filamu ya ngono ambayo hata hivyo hakuonekana akifanya ngono.

Alipoulizwa ni muigizaji gani wa ngono ambaye angependa kufanya naye amemtaja Pinky na kuongeza “She’s a bad bitch. I would take her down in a second.”

Pinky

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW