Burudani

Mzee Small kuzikwa makaburi ya Tabata leo

Msanii maarufu wa maigizo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ anatarajiwa kuzikwa leo saa 10 alasiri katika makaburi ya Tabata jijini Dar es Salaam, baada ya kufariki juzi usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anatibiwa.
Mzee-Small2
Mzee Small enze za uhai wake

Akizungumza na bongo5 leo, mtoto wa marehemu, Muhamudu Saidi amesema kuwa kila kitu kinaenda sawa na marehemu atazikwa leo hii.

“Tunamshuru mungu ratiba inaenda vizuri, marehemu atazikwa hukuhuku Tabata katika makaburi ya Tabata, itakuwa saa kumi alasiri” Alisema Muhamudu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents