Tupo Nawe

Nabii Shillah afunguka utajiri wake: Ni kama bilioni 4, na namiliki gari 25 (Video)

Mtumishi wa Mungu, Nabii Shillah amefunguka kuzungumzia maisha ya kifahari ambayo amekuwa akiyaonyesha katika mitandao ya kijamii.

Shillah amedai kama utajiri ni magari basi anayo zaidi ya 25 huku akidai pesa kubwa kuwahi kuishika katika maisha yake ni tsh bilioni 4.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW