DStv Inogilee!

Nancy Sumari ageuka lulu baada ya kutua Danube Home, avutiwa na punguzo la 70% (Video)

Miss Tanzania na Miss Africa 2005 Nancy Sumari Jumatano hii aligeuka lulu baada ya kutua duka la GSM Mall lililopo Mlimani City jijini Dar es salaam baada ya kuvamiwa na mashabiki wake pamoja na waandishi ambao walikuwa dukani hapo kwa shughuli zao.

Mrembo huyo asiyechuja alitua dukani hapo majira ya saa 5 asubuhi kwaajili ya manunuzi yake binafsi na ndipo alipowakuta wamiliki wa duka hilo wakiwatangazia waandishi wa habari punguzo la asilimia 70 kwa bidhaa mbalimbali zinazopatikana dukani humo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW