Navutiwa sana kuwa hivi kwani naogopa madhara ya Cancer na matatizo ya uzazi – Antu Mandoza

Mtangazaji na Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Antu Mandoza amefunguka sababu ya yeye kujiweka natural kwenye muonekano wake na kueleza kuwa anafanya hivyo ili kujikinga na magonjwa kama salatani na matatizo mengine yakiwemo ya uzazi.

Akizungumza na Bongo5, Antu amesema kuwa Watanzania wengi wanashindwa kuelewa madhara ya vipodozi vyenye kemikali na yeye yupo njiani kuanzisha bidhaa zake ambazo zitakuwa suluhisho kwa wanawake wanaosumbuka na matatizo ya ngozi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW