Burudani

Nedy Music afunguka jinsi alivyowagaragaza wasanii wakubwa kwenye tuzo za Afrima (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar Nedy music afunguka mwanzo mwisho jinsi alivyofanikiwa kushinda tuzo ya Afrima nchini Ghana.

Msanii huyo akiongea na Bongo5 ameongea hayo na kusema kuwa kwenye kipengele alichokuwepo alikuwa msanii Ommy Dimpoz kutoka Tanzania, A.K.A kutoka Afrika ya Kusini na wengineo wengi.

Msikilize Nedy:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents