Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

New Audio: OMG ft. S2kizzy – Swing

Kundi la muziki la OMG, linaloundwa na Salmin Swaggz, Young Lunya na Iam Conboi wametoa wimbo wao mpya uitwao ‘Swing’ waliomshirikisha S2kizzy ambaye ni producer wa ngoma hiyo kutoka Switch.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW