Baada ya msanii kutoka Nigeria D’Banj kutoa wimbo wake mpya ya “Feeling the Nigga” sasa kaamua kuitengeneza Remix ya wimbo huo, kamshirikisha Akon Uzinduzi wa video hii ulifanyika mwisho wa wiki iliyo pita Lagos, Nigeria siku ambayo D Banj alikuwa akifanya party yake ya kutimiza miaka kumi kwenye muziki.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
New Video: Jamwe He Ft Chege -NadoJanuary 17, 2018 - 12:44 am
-
Video: Ivrah – TusheherekeeDecember 25, 2017 - 5:01 pm