Burudani
New Music: G-Nako f/ Joh Makini – Juma Ikangaa
G-Nako ameachia ngoma kutoka kwenye mixtape yake iitwayo ‘Hang Over Ya Hasira’ na amemshrikisha Joh Makini. Wimbo umetayarishwa na TC & Kwichi.