Msanii wa muziki wa Kundi la P Square, Rudeboy ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao, Nkenji Keke. Video ya wimbo huo imeongozwa na Mr Moe Musa. https://youtu.be/pOZu5Q0Bvz0