Soka saa 24!

Nikki Mbishi ampiku Profesa Jay kama msanii mwenye aka nyingi?

Profesa Jay ndiye rapper wa Tanzania anayefahamika kuwa na aka nyingi zikiwemo Jay Tunakuzimia, Mti Mkavu, Mchawi wa Rhymez, Mzee wa Mitulinga, Prof Jizze, Daddy na zingine lakini sasa huenda rekodi yake imevunjwa.

Jizee

Inawezekana Nikki Mbishi ndiye rapper mwenye aka nyingi zaidi kwa sasa ambazo ni pamoja na Zohan,Sharktopus,Babu Bomba,Tishio,IGP Said Play Boy Mwema,Jogoo,Terabyte,Juke Box,Planet Afrika na zingine.

Terabyte alipewa na Profesa Jay kutokana na uwezo wake wa kukariri mashairi mengi kichwani yakiwemo ya nyimbo za wasanii wenzie wa ndani na nje ya nchi.

Duu!

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW