BurudaniUncategorized

Nikki wa Pili amvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu (+picha)

Rapper Nikki wa Pili yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu.

Shughuli hiyo inadaiwa kufanyika huko mkoani Arusha ma kuhudhuriwa na wasanii wenzake akiwemo Joh Makini, Dogo Janja, Lord Eyes.

Baada ya shughuli hiyo fupi, rapa huyo aliandika “Queen, malkia, mwenye moyo wangu…….nuru ya uzuri wako imulike njia ya maisha yetu…..Nakupendaaaa sanaaaaaaaaa #sikuyetu ahadi ya kwanza nimetimiza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents