Mahojiano

Nikki wa Pili: Shilole kupigwa na Uchebe, wanaume waoga ndio hupiga wake zao na huo ni mfumo dume (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @nikkwapili amefunguka kuhusu sakata la msanii @officialshilole kupigwa na mume wake Uchebe.

@nikkwapili ameongeza kuwa Huo ndio mfumo dume ingawa kuna wanawake pia wanapiga waume zao.

Mbali na hilo Mwanasheria aliyejitambulisha kwa jina la @rich_ar9 ameeleza kuwa hilo ni kosa la jinai na adhabu yake hutolewa na mahakama lakini pia akiongeza “Wanaume waoga ndio hupiga wanawake zao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents