Burudani

Nilimfundisha Diamond kuishi maisha haya anayoishi sasa hivi – Chid benz (Video)

Nilimfundisha nikiwa kama kaka yake

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid benz amefunguka mengi kuhusiana na maisha anayoyaishi C.E.O wa WCB Diamond Platnumz.

Chid ameongea hayo wakati anapiga stori na Bongo Five na kusema kuwa ” Maisha haya anayoishi Diamond ni ya ki-Boss sana na hivi anavyoishi nilimfundisha mimi,na nilimwambia yatamsaidia kumtatulia matatizo yake na kero zake zote”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents