Habari

Nimechoka kutoa rambirambi – Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa amechoka kutuma salamu za rambirambi kufuatia ajali za barabararani zinazopoteza maisha ya wananchi bila Wizara ya Mambo ya Ndani kuchukua hatua, Kauli hiyo imekuja baada ya kutokea ajali mfululizo mkoani Mbeya bila wizara husika kutoa tamko lolote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents