Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Nisha apost video mtandaoni inayomuonyesha akiliwa denda (Video)

Msanii wa filamu Salma Jabu aka Nisha amewaacha mdomo wazi mashabiki wake wa filamu baada ya kumpost video mtandaoni ambayo inamuonyesha akiliwa denda na mpenzi wake mpya mzungu.

https://www.instagram.com/p/Bk-Inh7nTPF/?taken-by=nishabebee

Muigizaji huyo amedai hawezi kukaa kimya bila kumuonyesha mpenzi wake huyo licha ya mashabiki wengi mtandaoni kumdhihaki.

“Ni ngumu sana kuficha hisia zangu kwa mtu nnayempenda,” aliandika mrembo huyo huku akiwa amepost video ya mzungu huyo.

Aliongeza,”Nimeshakuwa na mblack,mwarabu ila kote niliambulia usaliti na uongo wa mapenzi. Niliwahi sikia wazungu wana mapenzi ya kweli kuliko waafrica kujaribu si mbaya. Me ni msafiri sijafika bado na M’Mungu anajua kama hapa ndo mwisho wa safari yangu au inaendelea. kikubwa NIMESHAMPATA NA MANENO SIJALI,”

Nisha amesema kwa sasa ameanza maisha mpya na mrembo huyo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW