Habari

NMB Picha ya siku : Mtwara – Benki ya NMB yakabidhi vifaa mbalimbali kwa ajili yakujikinga dhidi ya janga la Corona

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alphayo Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbali mbali kwa ajili yakujikinga dhidi ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Mtwara Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo nchi nzima.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents