Burudani

Kutoka Billboard wasanii 15 wanaofanya vizuri Youtube, Burna Boy Diamond na Davido waongoza Tanzania wasanii watatu

Kwa Mujibu Wa jaridala @Billboard Hawa ndio Wasanii 15 wakubwa kwa upande wa kusini mwa Jangwa la Sahara wanaoangaliwa Zaidi Kimataifa/Duniani Kupitia Mtandao Wa YouTube.

Katika orodha hii imeanzia mwaka 2019 na mwaka huu 2020, Wasanii ambao wanaongoza kwa kufanya vizuri wa kwanza ni @burnaboygram wa pili ni @diamondplatnumz na namba tatu akishikilia @davidoofficial
Ukiangalia katika orodha zote yaani ya mwaka 2019 na 2020 wasanii waliofanikiwa kuingia kutoka Tanzania 🇹🇿 wa kwanza ni @diamondplatnumz wapili ni @harmonize_tz na nambari tatu akiwa ni @rayvanny

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents