Burudani

Mwanaheri na Mange Kimambi Kimeumana (Video)

Wakati akishiriki kwenye uzinduzi wa duka jipya la Sabuni kama balozi Mwigizaji wa tamthilia ya jua kali Mwanaheri a,eeleza kuhusu sakata lake la kupostiwa na Mange Kimambi kwamba ameachwa na mume wake ambapo katika hilo amesema,

“Hata siku moja hakuwahi kumsapoti bali yeye huya anajisapotisha huku akigusia swala zima la mahusiano yake kwamba hawezi kuachwa kamwe”

 

Video nzima ipo Katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents