Burudani

Adam Juma, Abbah Process kwenye Dua ya mwisho Director Khalfan (Video)

Wasanii, Madirector wajitokeza Dua ya Mwisho ya Director Khalfan.

Watayarishaji wa video za muziki, wasanii pamoja na wadau mbalimbali wa muziki wamejitokeza kwa wingi kwenye ibada ya mwisho ya Khalfan ambayo imefanyika katika msikiti wa Maamur Upanga Dar es Salaam.

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents