Burudani

Nuh Mziwanda aeleza jinsi alivyofika Ustawi wa Jamii kudai mtoto (Video)

Msanii wa muziki, Nuh Mziwanda amefunguka kwa kueleza namna alivyoamua kuachana na mambo ya kumpeleka aliyekuwa mke wake, Nawal, Ustawi wa Jamii akitaka kukabidhiwa mtoto wake. Muimbaji huyo amesema amesitisha hatua hiyo baada ya kuona hakuna umuhimu wa kufanya jambo hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents