Burudani

Nyerere Day: Harmonize alivyomuinua Rais Magufuli Lindi (Video)

Msanii wa Muziki, Harmonize ametoa burudani ya nguvu mbele ya Rais John Pombe Magufuli katika sherehe za Nyerere Day ambazo zimeambatana na sherehe za kilele cha mbio za Mwenge.

https://www.instagram.com/p/B3mCujKBcOq/

Muimbaji huyo aliitumia nafasi hiyo kuimba wimbo wake ‘Magufuli’ ambao ulionekana kuwakuna watu wengi pamoja na viongozi wa serikali na kumfanya rais Magufuli na yeye ainuke na kucheza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents