Orodha ya wasanii 20 Afrika mashariki, wenye subscribers na viewers wengi Youtube, Diamond hakamatiki (+Video)

Kupitia segment yetu mpya ya #Recap & Mando, leo tumekuandalia orodha ya wasanii 20 Afrika Mashariki wenye wafuasi (Subscribers) wengi kupitia mtandao wa Youtube, mbali na wafuasi lakini pia watazamaji 9Viewers) wengi kupitia mtandao huo.

Orodha hii inaanzia msanii anayeoongoza kwa kuwa na Subscrber wengi lakini pia Viewers wengi akiwa ni Diamond Platnumz, fuatlia kujua anayefuata ni nani.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW