Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Picha: 2Face atembelea kambi ya Kijeshi Nigeria

Msanii wa mkongwe wa muziki kutoka Nigeria, Innocent Ujah Idibia a.k.a 2Face ametembelea kambi ya wanajeshi ya nchi hiyo siku ya Jumanne.

2Face ametembela katika kambi ya jeshi hilo lililopo maeneo ya Maiduguri, Borno ambapo pia ametembela katika kambi ya wakimbizi.

Kupitia taasisi yake ya Tuface Foundation amekuwa akitembelea wakimbizi waliopo katika baadhi ya nchi mbalimbali duniani, pia mwezi Juni aliahidi kutoa asilimia 60 ya mapato ya nyimbo zake ilikusaidia wakimbizi.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW