Burudani

Picha: Alikiba na Ne-Yo uso kwa uso jijini Nairobi

Muimbaji wa Mwana, Alikiba Jumatatu hii alikutana uso kwa uso na msanii wa Marekani, Ne-Yo kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika jijini Nairobi, Kenya.

unnamed

Alikiba na Ne-Yo walijumuika pia na wasanii wengine wa Afrika wakiwemo Wangechi (Kenya), Dama Do Bling (Mozambique), Ice Prince (Nigeria) na Maurice Kirya (Uganda).

924676_873149446100081_1465182151_n

Wasanii hao watarekodi wimbo wa pamoja. Msimu mpya wa Coke Studio Africa utazinduliwa Oktoba mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents