Habari

Picha: Betty Boniface atwaa taji la Miss Universe Tanzania 2013

Mrembo Betty Boniface wa Dar es Salaam jana ameibuka mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2013 lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.

DSC_7244
Miss Universe Tanzania 2013, Betty Boniface baada ya kutangazwa mshindi, pembeni ni mshindi wa mwaka jana, Winfrida

Warembo wengine walioingia tano bora ni pamoja na Clara Noor,Consolata Mosha,Irene Nsiima na Aziza Victoria.

DSC_7239

DSC_7248
Betty (katikati) akiwa na washindi wa pili (Miss Earth Tanzania, Clara Noor) na mshindi wa tatu

DSC_7251
Mrembo akimpongeza Clara aliyeshinda taji la Miss Earth Tanzania. Mwaka huu mshindi wa pili amevikwa moja kwa moja taji la Miss Earth Tanzania na Mshindi wa tatu amekuwa runner up

DSC_7253
Warembo walioingia Top 5

DSC_7255
Miss Universe Tanzania 2013 na warembo wengine wakiwapungia mikono watu waliohudhuria fainali hizo

DSC_7257
Timu ya Compass Communications ilizunguka takriban Mikoa 8 ya Tanzania kufanya usahili kwa kila mkoa ili kupata wawakilishi wa mikoani katika kinyang’anyiro hiki. Mikoa hiyo ni pamoja na Mwanza, Arusha, Mtwara, Manyara, Mbeya, Dodoma, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Jumla ya washiriki 15 wataingia kambini kuchuana kumpata Mwakilishi wa Tanzania katika fainali za dunia zitakazofanyika nchini Moscow,Urusi

DSC_7261

DSC_7262

DSC_7264

Mashindano ya Miss Universe kwa hapa Tanzania yalianza rasmi mwaka 2007 ambapo Tanzania iliwakilishwa na Flaviana Matata na kufanikiwa kuingia katika kumi bora na mwaka 2008 yaliwakilishwa na Amanda Ole Sulul, 2009 yaliwakilishwa na Illuminata James ambapo mwaka 2010 mrembo Hellen Dausen ndiye aliyepokea kijiti, 2011 Nelly Alexandra Kamwelu na anayekabidhi taji mwaka 2012/2013 ni Winfrida Dominique.

DSC_7265

DSC_7266

DSC_7267

DSC_7273

DSC_7278

DSC_7282

DSC_7192

Angela Lutataza
Angela Lutataza

Aziza Victoria
Aziza Victoriaa

Betty Boniface ndo alikuwa mshindi wa Miss Universe 2013
Betty Boniface

Burudani pia ilikuwepo kutoka kwa vijana hawa
Burudani pia ilikuwepo kutoka kwa vijana hawa

Clara Noor
Clara Noor

Consolata Mosha
Consolata Mosha

Dinah David
Dinah David

Enika akiimba kwa furaha
Enika akiimba kwa furaha

Erene Nsiims
Erene Nsiima

Evansi Bukuku akiwa na Enika wakitoa burudan
Evans Bukuku akiwa na Enika wakitoa burudani

Evansi Bukuku ndo alikuwa Mc
Evans Bukuku, MC wa fanaili hizo

Furaha ya ushindi Betty Boniface
Furaha ya ushindi Betty Boniface

Glady Msemo
Glady Msemo

Hao ndo Top 5
Top 5 5

Hawa ndiyo walio ingia tano bora
Hawa ndio walioingia tano bora

Hii ndo ilikuwa meza ya majaji wa Miss Universe 2013
Hii ndo ilikuwa meza ya majaji wa Miss Universe Tanzania 2013

Kundi Mlingwa
Kundi Mlingwa

Lord Herry akiwa Miss Universe Betty Boniface
Lord Herry akiwa Miss Universe Betty Boniface

Majaji wakifurahia Burudani
Majaji wakifurahia burudani

Maria Sarungi akiongea machache
Mkurugenzi Mkuu wa Miss Universe Tanzania, Maria Sarungi akiongea machache

Mariam Ngwangwa
Mariam Ngwangwa

Mshindi No 2 kushoto Clara Noor na Mshindi No 1 katikati Betty Boniface na Mshindi No 3 Kulia Aziza Victoria
Mshindi wa 2 kushoto, Clara Noor na Mshindi No 1 katikati, Betty Boniface na Mshindi No 3 kulia, Aziza Victoria

Mzee Sarungu nae alikuwepo
Mzee Sarungi naye alikuwepo

Naomi Kisaka
Naomi Kisaka

Sasha Lukiko
Sasha Lukiko

Upendo Dickson
“Upendo Dickson

Vestina Mhagama
Vestina Mhagama

Washiriki wote wakiwa stejini wakisubiri kutajwa kwa Mshindi wa Miss Uneverse 2013
“Washiriki wote wakiwa stejini wakisubiri kutajwa kwa Mshindi wa Miss Uneverse Tanzania 2013

Winifrida Dominic akimkabidhi Crown Mshindi mpya wa Miss Uneverse Betty Boniface
Winfrida Dominic akimkabidhi Ccrown mshindi mpya wa Miss Uneverse Tanzania, Betty Boniface

DSC_7108

DSC_7157

DSC_7158

DSC_7159

DSC_7161

DSC_7162

DSC_7163

DSC_7164

DSC_7165

DSC_7166

DSC_7167

DSC_7168

DSC_7169

DSC_7171

DSC_7172

DSC_7173

DSC_7174

DSC_7178

DSC_7180

DSC_7182

DSC_7183

DSC_7184

DSC_7187

DSC_7189

DSC_7190

DSC_7191

DSC_7193

DSC_7194

DSC_7195

DSC_7196

DSC_7224

DSC_7230

DSC_7231

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents