Burudani
Picha: Beyonce, Jay Z, Rihanna, Diddy wahudhuria uzinduzi wa viatu vya Kanye West
Alhamis hii, Kanye West alizindua viatu vyake ‘Yeezy 750 Boost’ jijini New York, Marekani. Uzinduzi huo ulihudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo Jay Z na mke wake Beyonce, Rihanna, P-Diddy na mchumba wake Cassie, Justin Bieber na wengine. Tazama picha zao hapo chini.