Habari
Picha: Finalists wa Under-30 Youth Awards 2013 na namna ya kupiga kura
Upigaji kura wa kuchagua washindi wa tuzo za vijana walio chini ya miaka 30 unaendelea. Unaweza kupiga kura kwa kutuma code za finalists kwenda namba 15584. Gharama ya SMS ni sh. 200/= tu.
Upigaji kura utasitishwa siku ya utoaji wa tuzo tarehe 17/08/2013 saa 6 mchana. Pamoja na upigaji kura kwa SMS, Unaweza kupiga kura pia kupitia website www.youthawards.or.tz