Mrembo wa Tanzania aliyeonekana kwenye video ya wimbo wa Quick Rocka, My Baby Hamisa Mobeto amekava jarida la burudani la Pulse la nchini Kenya. Jarida hilo huchapishwa kila Ijumaa na lipo chini ya kampuni ya Standard Media.
Hizi ni baadhi ya picha za Hamisa ndani ya jarida hilo.