Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha hizi zaiweka hadharani sura halisi ya Beyonce

Usiamini kila unachokiona kwenye internet.

25CE13DA00000578-2960198-image-a-31_1424358205477

Picha za Beyonce alizopigwa kwaajili ya matangazo ya mwaka 2013 ya L’Oréal zimesambaa mtandaoni na kuwafanya mashabiki wake ‘Beyhive’ kushambulia kwa hasira.

25CE13DE00000578-2960198-image-a-30_1424358126585

Picha hizo halisi ambazo hazijafanyiwa uhariri wowote (untouched) kwenye Photoshop zimeonesha kumbe Bey si mrembo kama tunavyodhani.

25CE13E300000578-2960198-image-a-24_1424357941674

Picha hizo ziliwekwa kwenye mtandao wa The Beyoncé World ambazo zilitolewa baada ya kushambuliwa.

c4ace8e3cd9057b03d66bf02db20cb459a546d8c

“Due to the disdain of the BeyHive, we have removed the photos. We don’t want to cause any drama, nor do we wish to start fan wars. Some of the things we have seen posted were just horrible, and we don’t want any parts of it. We were just posting the photos to share the fact that our queen is naturally beautiful, at the same time she is just a regular woman.”

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW